Kipa wa Yanga, Djigui Diarra amepewa adhabu ya kufungiwa mechi tatu na adhabu ya faini ya Sh4 milioni kutokana na makosa ...
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe, amesema kukosa balansi katika eneo la kujilinda na ushambuliaji ndio sababu kubwa ya ...
KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng’ondya, amesema licha ya tofauti ndogo ya pointi na wapinzani wao msimu huu, ...
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, amesema miongoni mwa makocha bora na wa kisasa anaowatazama zaidi katika Ligi Kuu ...
“MO Salah! Mo Salah! Mo Salah! Running down the wing. “Mo Salah la-la-la la-ahh, The Egyptian King!”. Ukurasa umefungwa. Mambo hufika mwisho. Mambo yamefika mwisho Anfield. Ilikuwa hadithi tamu na ya ...
WAKATI Manchester City ikibeba ubingwa wa Kombe la Carabao mwishoni mwa wiki iliyopita, anga la soka la England lilibaki kuwa ...
Salah ametangaza wiki hii kuwa atahitimisha safari yake ya miaka tisa Liverpool, ikiwa ni miaka miwili tangu Klopp aondoke ...
WAPENZI wa wanamuziki wa Bongofleva, Marioo na Rayvanny, Paula na Fahyma, bado suala lao halijaisha kwani ushindi wa chini ...
MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, Mkenya Mathew Momanyi Tegisi, amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja alichocheza Ligi Kuu Bara, ...
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetoa notisi ya kisheria ya siku 60 kwa kampuni kadhaa za ubashiri, ikizitaka zitoe ...
Msimu uliopita alihusika na mabao 19, akifumania nyavu mara sita na kupiga pasi 13 za mwisho ambazo zilimfanya awe kinara wa ...
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limeeleza chanzo cha nyota wa timu ya taifa, Jackline Sakilu kufungiwa na Athletics ...