MSHAMBULIAJI wa Brighton, Danny Welbeck amefanikiwa kufikia jambo ambalo ni wachezaji wawili tu wengine katika historia ya ...
Siyo lazima kumuacha sasa, lakini kumpatia mbadala wake kwanza. Diarra akipata mpinzani kwenye nafasi yake na akawekwa benchi ...
LIGI Kuu Hispania (LaLiga) imetangaza orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Sporty LaLiga MVP 2025/26, inayotambua ...
SHANGWE zilirejea kwa Vinicius Junior katika Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kufunga ...
INAELEZWA kiungo wa Newcastle United, Bruno Guimaraes, 28, hafikirii hata kidogo kuondoka katika klabu hiyo kwa sasa na yupo ...
NCHI tatu za Afrika Mashariki Tanzania, Kenya na Uganda zimepewa ridhaa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuandaa mashindano ...
KOCHA wa Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, amesema kuwa kikosi hicho hakitakuwa na muda wa mapumziko kwani anahitaji ...
SHIRIKISHO la Soka Duniani (Fifa) limepitisha mabadiliko ya sheria mpya kwa timu za taifa za wanawake na ngazi ya klabu kuwa ...
UNAPOTAJA miongoni mwa makocha bora Tanzania ambao tunajivunia hutoacha kulitaja jina la kocha Zubery Katwila ambaye kwa sasa ...
SAFU ya ushambuliaji ya timu ya JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imeendelea kujiwekea mikakati kabambe kuhakikisha ...
KATI ya timu za vikosi zinazoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ambazo hazijawahi kubeba ubingwa wa ligi hiyo, KVZ ni mojawapo ...
KOCHA wa Coastal Union Mohamed Muya ameweka wazi mkakati wake kuelekea kipindi hiki cha mapumziko, huku akisisitiza umuhimu wa kucheza mechi za kirafiki ili kujiweka sawa kabla ya kurejea ...