MABOSI wa Shirikisho la Soka Senegal (FSF), wanapanga kufanya gwaride la ubingwa Afcon huku nyota wa kikosi cha timu hilo ...
Tanzania ambayo ilikuwa nafasi ya sita, sasa ipo nafasi ya tano huku Tunisia iliyokuwa nafasi ya tano ikishuka hadi ya sita.
Kipa wa Yanga, Djigui Diarra amepewa adhabu ya kufungiwa mechi tatu na adhabu ya faini ya Sh4 milioni kutokana na makosa ...
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe, amesema kukosa balansi katika eneo la kujilinda na ushambuliaji ndio sababu kubwa ya ...
SHABIKI lialia wa timu ya taifa ya England, Andy Milne, amefichua kuwa yuko katika mchakato wa kuuza nyumba ili kupata pesa ...
KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng’ondya, amesema licha ya tofauti ndogo ya pointi na wapinzani wao msimu huu, ...
“MO Salah! Mo Salah! Mo Salah! Running down the wing. “Mo Salah la-la-la la-ahh, The Egyptian King!”. Ukurasa umefungwa. Mambo hufika mwisho. Mambo yamefika mwisho Anfield. Ilikuwa hadithi tamu na ya ...
WAKATI Manchester City ikibeba ubingwa wa Kombe la Carabao mwishoni mwa wiki iliyopita, anga la soka la England lilibaki kuwa ...
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, amesema miongoni mwa makocha bora na wa kisasa anaowatazama zaidi katika Ligi Kuu ...
MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, Mkenya Mathew Momanyi Tegisi, amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja alichocheza Ligi Kuu Bara, ...
WAPENZI wa wanamuziki wa Bongofleva, Marioo na Rayvanny, Paula na Fahyma, bado suala lao halijaisha kwani ushindi wa chini ...
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetoa notisi ya kisheria ya siku 60 kwa kampuni kadhaa za ubashiri, ikizitaka zitoe ...