Tangu alipochukua madaraka, Kapteni Traoré amekabiliwa na majaribio mawili ya mapinduzi na pia anakabiliwa na ongezeko la vurugu za wanajihadi. Ambia Hirsi & Rashid Abdallah Washirika wa Ulaya ...
Rais wa Marekani Donald Trump anasema utawala wake unasitisha juhudi zake za kupeleka Vikosi vya Ulinzi wa Taifa katika miji ya Chicago, Los Angeles na Portland. Katika ujumbe kwenye mitandao ya ...
Kwa mara ya kwanza, raia wengi wa Uganda wanaonekana kugundua nguvu ya kutumia bendera ya taifa lao kama chombo cha kujieleza kisiasa. Alipoanza kampeni zake mapema mwaka huu, mgombea urais wa chama ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo ametoa wito kwa raia wote wa Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, kushiriki kikamilifu katika uchaguzi ujao wa nchi hiyo, akisisitiza umuhimu wa utulivu, ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Masauni akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Dar es Salaam. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), Dk Abdallah ...
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa PPP Centre, Flora Tenga, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha Ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) kama chachu ya kuvutia uwekezaji na kukuza viwanda ...
Kuelekea kwenye maandamano yaliyopangwa kufanyika nchini Tanzania katika siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Taifa hilo Tarehe 9 Desemba, tunazikumbusha mamlaka juu ya wajibu wao wa kuhakikisha raia ...
The United States is questioning the future of its relations with the African nation of Tanzania following widespread violence against protesters this year that the national government has dismissed ...
MAENDELEO ya Taifa lolote pamoja na mambo mengine yanahitaji uwepo wa watu (nguvu kazi) wenye afya njema na uwepo wa lishe bora ili kuwawezesha kufanya kazi kwa bidii na tija. Kwa kutambua hilo ...
AMANI ni tunu adhimu ambayo kila taifa duniani hutamani kuipata na kuidumisha. Tanzania imekuwa kisiwa cha amani, hili ni jambo la kuendelea kujivunia sana kama Watanzania. Pamoja na tunu hii ...
Mawakili wa Trump wametishia kuishtaki BBC kwa fidia ya $1bn (£759m). Na Asha Juma Chanzo cha picha, Getty Images Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa nchi ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuundwa kwa Tume Maalum ya Uchunguzi yenye jukumu la kuchunguza na kusimamia mchakato wa kuponya mpasuko wa kisiasa uliotokana na maandamano ya ...