KWA miaka yote Lava Lava anafahamika kama mwanamuziki wa Bongofleva mwenye sauti nzuri na mtunzi mwenye uwezo mkubwa wa kuandika nyimbo zenye hisia kali hasa kuhusu mapenzi na maisha.
STAA wa Bongofleva, Oscar John Lelo anayefahamika kisanii kama Whozu ni mmoja wa wanamuziki waliopitia safari ya kipekee na kuvutia kabla ya kufikia mafanikio aliyonayo wakati huu akisimama ...