Wimbo wa All I want for Christmas is You" ya mwimbaji Mariah Carey ulitoka mwaka wa 1994 na kufanya mafanikio makubwa, lakini baada ya miaka 30, imekuwa wimbo unaotawala msimu wa likizo. Nini siri ya ...
Wakati mamilioni ya watu duniani kote wakisherehekea msimu wa huu wa Sikukuu, karne kadha zilizopita baadhi ya Wakristo walipiga marufuku kusherehekea siku ya Krismasi. Kulikuwepo wakati ambapo ...