WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza ufanyaji kazi kwa ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi za Dini nchini ili kuendelea kujenga amani, umoja na mshikamano.
Karibu kila redio nchini kwa sasa ina kipindi cha muziki wa zamani, majina ya vipindi hivyo yanaonyesha sura ya vipindi vyenyewe, Zilipendwa, Zama zile, Za kale , Old is gold, Ya Kale dhahabu, Old ...
Mahakama Kuu ya Tanzania imetamka kuwa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) si taasisi ya kuwakilisha Waislamu wote nchini, na kwamba ni kinyume cha Katiba kwa Serikali kuwalazimisha Waislamu ...
WAKATI mwaka mpya wa 2026 ukiingia, viongozi wa dini katika mahubiri ya kuukaribisha mwaka huu wamewataka Watanzania kumweka mbele Mungu na kufanya kazi kwa bidii pamoja na kulinda amani ya nchi.
SUALA la wasanii na watu maarufu kutangaza kuacha maovu na kumrudia muumba wao si geni. Kwa hapa Bongo wapo wengi ambao wamewahi kufanya hivyo, huku wasanii wengi wakiamua kuokoka. Wapo ambao hudumu ...
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Uhusiano, Deus Sangu ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) jijini Dar es Salaam kwa lengo ...
Moneyweb's market tools will help you to keep track of your investments. We offer market updates, comprehensive JSE company data, Sens announcements, a personalised watchlist, and email alerts to help ...