Msikilizaji tunapoanza safari ya mwaka 2026 wengi wetu bila shaka tumekuwa na ndoto, malengo, na mipango mingi ya kifedha…lakini si wote tunanidhamu swali hapa ni je, tatizo ni kipato au ni matumizi?
Uganda na Tanzania zitakuwa wenyeji wa pamoja wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON) sambamba na jirani yao Kenya, huku mashindano yanayoendelea nchini Morocco yakiwapa picha halisi ya kiwango cha ...
Kwa miezi kadhaa, majasusi wa Marekani walikuwa wakifuatilia kila hatua na nyendo za Rais wa Venezuela Nicolas Maduro. Kilikuwa ni kikundi kidogo cha majasusi, kilichofanya kazi pamoja na chanzo ...
Kulingana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Buno Yapandé, hali kwa sasa imedhibitiwa, baada ya watu kadhaa wenye silaha wa kundi la Azandé Ani Kpi Gbé (AAKG) - kundi la ...
Idadi ya mabilionea nchini Urusi imefikia kiwango cha juu sana hasa wakati wa vita vya Ukraine. Lakini katika kipindi cha miaka 25 Vladimir Putin amekuwa madarakani, matajiri na wenye nguvu wa Urusi - ...