Siyo lazima kumuacha sasa, lakini kumpatia mbadala wake kwanza. Diarra akipata mpinzani kwenye nafasi yake na akawekwa benchi ...
NCHI tatu za Afrika Mashariki Tanzania, Kenya na Uganda zimepewa ridhaa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuandaa mashindano ...
KOCHA wa Coastal Union Mohamed Muya ameweka wazi mkakati wake kuelekea kipindi hiki cha mapumziko, huku akisisitiza umuhimu wa kucheza mechi za kirafiki ili kujiweka sawa kabla ya kurejea ...
SHIRIKISHO la Soka Duniani (Fifa) limepitisha mabadiliko ya sheria mpya kwa timu za taifa za wanawake na ngazi ya klabu kuwa ...
MSHAMBULIAJI wa Brighton, Danny Welbeck amefanikiwa kufikia jambo ambalo ni wachezaji wawili tu wengine katika historia ya ...
LIGI Kuu Hispania (LaLiga) imetangaza orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Sporty LaLiga MVP 2025/26, inayotambua ...
SHANGWE zilirejea kwa Vinicius Junior katika Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kufunga ...
KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesema yanayoendelea katika timu yake kwa msimu huu yanamuumiza sana kwani ni tofauti kabisa ...
SHIRIKISHO la Soka Ulaya (Uefa) limethibitisha kuwa kuna uwezekano wa timu saba za Ligi Kuu England kushiriki Ligi ya ...
SAFU ya ushambuliaji ya timu ya JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imeendelea kujiwekea mikakati kabambe kuhakikisha ...
UNAPOTAJA miongoni mwa makocha bora Tanzania ambao tunajivunia hutoacha kulitaja jina la kocha Zubery Katwila ambaye kwa sasa ...
KOCHA Mkuu wa Uhamiaji, Abdul Saleh, amesema licha ya kuwepo ugumu wa Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2025-2026, lakini sio sababu ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results