Ndivyo anavyoianza hukumu Jaji Martha Mpaze wa Mahakama Kuu katika kesi ya mauaji namba nane ya mwaka 2023 inayomkabili Said ...
Mkataba wa Dijk na Liverpool utafikia tamati mwishoni mwa msimu huu na juhudi kadhaa za uongozi wa timu hiyo kumshawishi aongeze mkataba mpya hadi sasa bado hazijafanikiwa.
MWENYEKITI wa Simba SC, Murtaza Mangungu amegusia taarifa ya Klabu ya Yanga kuwa inataka kwenda Mahakama ya Kimataifa ya ...
Arajiga atawakumbushia vita hiyo atakapokutana na wawili hao Aprili Mosi, 2025 kwenye mechi hiyo kabla ya timu hizo kwenda ...
Utumikishwaji wa watoto katika biashara si tatizo jipya, linajitokeza katika maeneo mengi duniani, na hapa nchini limekuwa ...
Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa ...
Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), anawania nafasi hiyo akiwa sambamba na ...
Pamoja na kuwa na rasilimali nyingi, mikoa hii bado ina kiwango cha chini cha pato la mtu mmoja, hali inayochochea umaskini na kuzorotesha maendeleo ya wananchi.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa Mkoa wa Dar es Salaam, unaotarajiwa kuanza Machi 17 hadi 20. Mkoa huo ndio wa mwisho ku ...
Dawa ya deni kulipa” hivi ndivyo walivyosema Wahenga. Lakini msemo huu unaonekana kupewa kisogo na baadhi ya wasanii nchini ...
“Mhudumu aligonga mlango kwa nguvu, ile hali ilinikwaza kwa kuwa nilikuwa nimechoka, nilihitaji angalau saa sita hadi saba za kupumzika, hivyo sikuamka. Ni kawaida watu kuhisi njaa kali katika vipindi ...
“Mhudumu aligonga mlango kwa nguvu, ile hali ilinikwaza kwa kuwa nilikuwa nimechoka, nilihitaji angalau saa sita hadi saba za ...