MBUNGE wa Jimbo la Itwangi Azza Hillal Hamad, ametoa vifaa vya shule na zawadi mbalimbali, kwa walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi Masunula, iliyopo Kata ya Usule wilayani Shinyanga, kama motisha ...
SAFARI ya mafanikio ya staa wa Bongofleva, Jay Melody, ni ushuhuda hai kuwa katika muziki, kama ilivyo katika maisha, kupotea si mwisho wa safari bali ni sehemu ya kujifunza kabla ya kurejea na nguvu ...
Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa alishtushwa na taarifa za mgomo wa wachezaji wa Taifa Stars kabla ya Fainali za AFCON 2025 kutokana na madai ya ...
Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa Kuchunguza Ukweli kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeitaka serikali ya Iran kurejesha mara moja huduma za intaneti na mawasiliano ya simu, pamoja na ...
TOFAUTI na mataifa mengine katika ukanda huu, amani na umoja wa kitaifa Tanzania si tu kwamba ni nguvu muhimu, bali pia ni mali ya thamani kwa nchi. Kwa miaka mingi, nchi imejenga mazingira ya umoja, ...
Tangu alipochukua madaraka, Kapteni Traoré amekabiliwa na majaribio mawili ya mapinduzi na pia anakabiliwa na ongezeko la vurugu za wanajihadi. Ambia Hirsi & Rashid Abdallah Washirika wa Ulaya ...
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Uhusiano, Deus Sangu ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) jijini Dar es Salaam kwa lengo ...
Rais wa Marekani Donald Trump anasema utawala wake unasitisha juhudi zake za kupeleka Vikosi vya Ulinzi wa Taifa katika miji ya Chicago, Los Angeles na Portland. Katika ujumbe kwenye mitandao ya ...
NDOTO za kimuziki za Haji Ramadhani zilianza kutimia miaka 15 iliyopita aliposhinda shindano la kusaka vipaji vya kuimba la Bongo Star Search ‘Second Chance’ 2011. Ushindi wa shindano hilo ulimpa Sh40 ...
DAR ES SALAAM; Mwaka 2025 utaendelea kukumbukwa kama kipindi ambacho Tanzania iliimarisha kwa vitendo nafasi yake katika diplomasia ya kikanda na kimataifa. Kupitia mikutano ya ngazi ya juu, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results