Watangazaji tisa wa TBC 1 walioandaa, kuandika na kutangaza habari juu ya Rais wa Marekani Donald Trump kumsifia Rais Magufuli wamesimamishwa kazi kwa kutangaza habari ya uongo. Hatua hiyo ...
Upande wa upinzani nchini Tanzania umekataa tamko la serikali la kujaidili hotuba ya rais wa taifa hilo pasipo kuoneshwa matangazo moja kwa moja kupitia televisheni ya taifa TBC. Serikali kupitia ...
Shirika la utangazaji nchini Tanzania TBC, limewasimamisha kazi wafanyakazi tisa baada ya taarifa za uongo kuwa Rais wa Marekani Donald Trump, alimpongeza rais John Magufuli, kupeperuswa hewani.