Karibu kila redio nchini kwa sasa ina kipindi cha muziki wa zamani, majina ya vipindi hivyo yanaonyesha sura ya vipindi vyenyewe, Zilipendwa, Zama zile, Za kale , Old is gold, Ya Kale dhahabu, Old ...