WAKATI mwaka mpya wa 2026 ukiingia, viongozi wa dini katika mahubiri ya kuukaribisha mwaka huu wamewataka Watanzania kumweka mbele Mungu na kufanya kazi kwa bidii pamoja na kulinda amani ya nchi.
Karibu kila redio nchini kwa sasa ina kipindi cha muziki wa zamani, majina ya vipindi hivyo yanaonyesha sura ya vipindi vyenyewe, Zilipendwa, Zama zile, Za kale , Old is gold, Ya Kale dhahabu, Old ...