OFISI ya Vyombo vya Habari, Vatican, leo Alhamisi, Februari 27, 2025 imebainisha kuwa amelala vyema usiku wa kuamkia leo. :"Papa amelala vizuri usiku na yuko anapumzika." Taarifa hiyo imetolewa leo, ...
ANNA Bwana, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Afrika Mashariki, akichukua nafasi ya Aidan Eyakuze. Kabla kupata nafasi hiyo, Bwana, amepitia mchakato mkali wa kutafuta ...