Watu kumi wamefariki katika kisa cha moto katika kiwanda cha kutengeneza vipuri vya magari nchini Korea Kusini, shirika la ...
Vita kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya "Hamas" vimeingia siku yake ya kumi kwa kuzingatia muendelezo wa mashambulizi ya anga, baharini na ardhini yanayotekelezwa na Israel huko ...
Watu kumi na mbili waliokimbia vita vya M23 siku kumi zilizopita wamekufa kusini mwa eneo la Lubero na Kanyabayonga. Zaidi ya watu 200,000, wanakabiliwa na njaa kutokana na mgogoro wa hali ya ...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo wa kumi na nne, ametoa wito kwa mataifa kuvikataa vita na kudumisha amani duniani. Ametoa wito huo katika sala yake ya kwanza kuiongoza tangu ...