Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Olivanus Thomas, amesema wanafunzi watakaosoma katika Shule ya Amali ya Ufundi Njombe inayojengwa katika Kata ya Mlangali watanufaika kwa kupata mafunzo ya vitendo, kutokana ...
Katika ulimwengu unaoendelea wa mitindo, mchanganyiko wa ubunifu na teknolojia hufungua njia ambazo hazijawahi kufanywa kwa wabunifu. Mapinduzi ya hivi punde yanakuja katika mfumo wa akili bandia (AI) ...
Msikilizaji tunapoanza safari ya mwaka 2026 wengi wetu bila shaka tumekuwa na ndoto, malengo, na mipango mingi ya kifedha…lakini si wote tunanidhamu swali hapa ni je, tatizo ni kipato au ni matumizi?
KATIKA Ukumbi wa Bunge la Tanzania, kila kengele ya kuashiria kuanza kwa kikao inapolia, macho ya wengi huelekea mlangoni kwa shauku kubwa.Pale, anapita Spika au Naibu Spika akiwa amejifunika vazi ...
Dodoma. Huenda umewahi kukutana na mtu anayefanya kitu kwa umahiri mkubwa lakini bado anakuwa na wasiwasi. Huenda wewe ni mmoja wao. Unafanya kitu vizuri tu lakini bado unahisi hujafanya kama ...
Tarehe 14 Novemba kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Kisukari na mwaka huu kauli mbiu ni “Kisukari katika hatua mbalimbali za maisha.” Je wafahamu ugonjwa huu unampata mtu gani na unawezaje ...
Vurugu za baada ya uchaguzi nchini Tanzania: Miili ya waathiriwa wengi wa ukandamizaji haijapatikana
Familia nyingi zinasema bado hazijaweza kupata miili ya wapendwa wao waliotoweka wakati wa makabiliano yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa wabunge na urais wa Oktoba 29 nchini Tanzania. RFI imepata ...
María Corina Machado amezaliwa 7 Oktoba 1967 ni mwanasiasa wa Venezuela na mhandisi wa viwanda. Machado ni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Venezuela na aliwahi kuwa mbunge katika Bunge la ...
Guinea itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza wa urais tarehe 28 Desemba tangu mapinduzi ya mwaka 2021. Haya ni kwa mujibu wa agizo la rais lililosomwa kupitia televisheni ya kitaifa. Tangazo hilo ...
Serikali ya Japani inapanga kukusanya jumla ya dola bilioni 1.5 kwa ajili ya kinachoitwa “uwekezaji wa athari,”ili kuyasaidia mataifa ya Afrika kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa na kukuza sera ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results