CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kinatarajia kufunga kampeni zake leo, jijini Dar es Salaam. Kinahitimisha kampeni hizo ...
Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, zimebakiza siku moja kutamatishwa, huku Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akiweka rekodi ya mikutano yake kufuatiliwa na ...