BAADA ya Manchester United kukipiga jana, Ijumaa dhidi ya Bournemouth, Ligi Kuu ya England, inatarajiwa kuendelea tena leo, ...
SIMBA imefanya umafia baada ya kumsajili kiungo wa Singida Black Stars, Kevin Nashon kwa mkataba wa miaka miwili zikiwa ni ...
TULIKUWA tunasubiri mwezi uandame huku hali ikiwa shwari kabisa. Ghafla wahuni fulani wakakutana ndani ya ofisi fulani pale Morocco na kuamua kuchafua hali ya hewa. Waliamua tu kuliabisha Bara ...
Mshambuliaji nyota wa Iran, Sardar Azmoun, amefukuzwa katika kikosi timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya kukiuka kile kilichoonekana kuwa kitendo cha kutokuwa mwaminifu kwa serikali.
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola ameibua mjadala mpya kimataifa baada ya kuhoji uamuzi wa Shirikisho la Mpira wa (CAF) kubadili matokeo ya fainali ya AFCON 2025 na kuipa Morocco ...
Shirikisho la Soka la Guinea limeibua upya mjadala mzito barani Afrika baada ya kuiandikia Shirikisho la Soka Afrika (CAF) likiitaka ipitie upya matokeo ya Kombe la Mataifa ya Afrika ...
YANGA inarudi uwanjani leo ikiendelea na ziara ya mechi za ugenini itakapokutana na Mtibwa Sugar na timu zote mbili zitakuwa na akili moja tu ya kushinda ili kujiweka kwenye nafasi nzuri.
MAKIPA Djigui Diarra wa Yanga, Aishi Manula (Azam) na Mahamadou Tanja Djibrilla Kassali Djibo (Simba), wameendelea kuonyesha ubora katika mechi mbalimbali hasa za Ligi Kuu Bara, huku viwango vyao ...
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali inafikia tamati yake leo na kesho kwa kupigwa michezo yenye hadhi kubwa kwenye soka la Afrika.
BAADHI ya timu za Ligi Kuu Bara zimekuwa zikipitia kipindi cha kucheza kwa presha ya kujilinda na janga la kushuka daraja katika misimu minne, huu wa 2025-2026 ukiwa wa tano, bila kusahau ...
KOCHA wa TMA FC, Mzanzibar Haji Ali Nuhu, amesema hadi sasa hakuna makubaliano rasmi yaliyofikiwa kati yake na uongozi wa Yanga, kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu za vijana, akiungana ...
MANCHESTER United inadaiwa kwamba ipo katika mazungumzo ya mwisho ya kumsajili nahodha wa Newcastle United na timu ya taifa ya Brazil, Bruno Guimaraes, 28, kwa ada inayokadiriwa kufikia Pauni 69.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results