Mbunge wa Mbeya vijijini, Patali Shida akipanda mti katika Kituo cha Afya Mamlaka ya Mji wa Mbalizi ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2026. Picha na Hawa ...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni mkoani Tanga leo. Picha na Sunday Geoerge Handeni. Serikali ya Tanzania imesema ...
London, England. Arsenal inataka iwe tishio zaidi kwenye mipira iliyokufa baada ya kumchukua gwiji wa mipira ya kurusha, Thomas Gronnemark. Arsenal imekuwa wafalme wa mipira iliyokufa chini ya kocha ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili. Matokeo yametangazwa leo Januari 10, 2026 na Katibu Mtendaji wa ...
Dar es Salaam. Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Elizabeth Edward amesema taasisi za mikopo kwenye jamii zina faida na hasara zake. Amesema wakati benki zikisubiri wakopaji lakini watu wamekuwa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Dar es Salaam. Kikosi cha Simba kikiwa kamili gado, kimetua salama huko Algeria, huku benchi la ufundi la timu hiyo pamoja na wachezaji wakiwa na hesabu moja tu dhidi ya Waarabu watakaovaana nao ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Mgombea Urais wa Chama cha Wananchi (CUF),Gombo Sambandito Gombo akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Oktoba 14,2025 Mkoa wa Mbeya.Picha na Hawa Mathias Mbeya. Mgombea urais wa Tanzania ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikitarajia kusomewa uamuzi wa maombi yao ya kufunguliwa kifungo cha zuio la kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali zake, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results