DAR ES SALAAM; YANGA imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo Uwanja wa ...
Swahili phrase:Kibao cha chapati,English translation:Chapati board or rolling board Explanation:“Kibao cha chapati” is a wooden board used in the kitchen when preparing chapati (a type of flatbread ...
TANGA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahaman ametoa kiasi cha Sh milioni 13.4 kuwalipia madeni vijana waliokopeshwa na serikali mikopo ya asilimia 10. Vijana hao 10 ...
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu ...
MITIHANI ya taifa ya kidato cha nne imeanza leo nchini ikiwa ni kilele cha safari ya miaka minne ya masomo kwa maelfu ya ...
MGODI wa Barrick North Mara umetoa leseni 13 na kufadhili mafunzo kwa wachimbaji wadogo ili waendeshe shughuli za uchimbaji.
AMANI ni tunu adhimu ambayo kila taifa duniani hutamani kuipata na kuidumisha. Tanzania imekuwa kisiwa cha amani, hili ni ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwnyi wiki hii anatarajiwa kuzindua uuzaji wa nyumba za ...
TAFITI 128 zilizolenga mada ya biashara na uchumi himilivu kwa ajili ya maendeleo jumuishi nchini Tanzania na nchi ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itashirikiana na wafanyabiashara kulinda biashara ili ziendelee kukua. Kamishna Mkuu ...
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewaomba wananchi waendelee kuiunga mkono serikali kwa kuwa imetoa fedha nyingi za ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amewahimiza Watanzania kuendelea kuliombea Taifa ili amani, upendo, ustahimilivu na mshikamano ...