Katika makala ya Karibuni ambayo husheheni burudani kedekede, utamsikia Sudi Mnette akizungumzia mwamko wa mchezo wa masumbwi nchini Tanzania. Lakini pia utasikia sadiki ukipenda na leo atakupeleka ...