Wimbo wa All I want for Christmas is You" ya mwimbaji Mariah Carey ulitoka mwaka wa 1994 na kufanya mafanikio makubwa, lakini baada ya miaka 30, imekuwa wimbo unaotawala msimu wa likizo. Nini siri ya ...
Krismasi ni sikukuu ya Kikristo ikiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo, lakini leo imekua zaidi ya dini. Makala hii inaeleza ...
Mwezi Disemba ukishika kasi tunajikuta tukikaribisha msimu wa sherehe, nyimbo za krismasi huanika kila pembe ulimwenguni, mapambo ya rangi na watu wakimiminika sokoni na madukani kununua mahanjumati ...
Sherehe ya Krismasi inasherehekewa hata katika nchi za Kiarabu. Japokuwa dini ya Kiislamu ndiyo inaongoza karibu katika nchi zote 22 za Kiarabu, karibu wakaazi milioni 20 katika eneo hili ni wakristo.