Rais wa Kenya William Ruto ameondosha marufuku ya miaka sita ya ukataji miti - na hivyo kuzua hasira kutoka kwa wanamazingira. Kiongozi wa taifa hilo la Afrika Mashariki alisema, haja ya kufungua ...
Msichana mwenye umri wa miaka 14 kutoka Kenya amepata umaarufu duniani kwa jitihada zake za kuokoa sayari, kukutana na watu kama Mfalme Charles na kuungana na mshindi wa tuzo ya Grammy Meji Alabi na ...