Wakati huo huo Waziri wa Ulinzi wa Australia, Peter Dutton, ambaye yuko ziarani nchini Marekani, kwa upande wake, amehakikisha kwamba serikali yake iko sawa na wala haiwezi kulaumiwa na Ufaransa.
Utawala wa kijeshi, madarakani nchini Mali "umeendelea kushindwa kukabiliana na matatizo mbalimbali yanayoikumba", amesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Catherine Colonna, wiki tatu baada ya ...
Viongozi waandamizi wa Ujerumani na waheshimiwa kutoka nje ya nchi Jumapili (17.04.2016) wamehudhuria ibada ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Hens- Dietrich ...