Ajali ya basi ilitokea Jumapili Cape Mashariki na waliokufa ni raia kutoka Zimbabwe na Malawi waliokuwa safarini kurudi ...
Miaka nenda miaka rudi, kivuko cha Likoni Ferry kimekuwa kikifanyiziwa tambiko maalum na Wazee wa Kidigo ambao wamekuwa na jadi zao za kimila kwamba pepo wa bahari lazima kufanyiwa karamu yao kwa ...
Uchunguzi wa awali wa ajali ya ndege ya Air India ya mwezi uliopita, unaonyesha swichi za kudhibiti mafuta zilikuwa zimezimwa na kusababisha injini kukosa nguvu ya kuisaidia ndege kupaa hewani muda ...
"Kwa wakati huu, watu 27 ndio inasadikiwa kuwa wamefariki, ikiwa ni pamoja na watoto 25 na rubani," Saydur Rahman amewaambia waandishi wa habari, akiongeza kuwa watu 78 waliojeruhiwa wanasalia ...
Zaidi ya abiria 700 waliokuwa wakisafiri na treni ya reli ya kati kuelekea mikoa ya Tabora, Mpanda na Kigoma wamekwama kwa ...
Ulimwengu wa kandanda umekumbwa na ajali nyingi mbaya za magari kwa miaka mingi, zikigharimu maisha ya vipaji vinavyoinuka na wataalamu waliobobea. Hivi karibuni zaidi ni nyota wa kimataifa wa Ureno ...