Ajali ya basi ilitokea Jumapili Cape Mashariki na waliokufa ni raia kutoka Zimbabwe na Malawi waliokuwa safarini kurudi ...
Uchunguzi wa awali wa ajali ya ndege ya Air India ya mwezi uliopita, unaonyesha swichi za kudhibiti mafuta zilikuwa zimezimwa na kusababisha injini kukosa nguvu ya kuisaidia ndege kupaa hewani muda ...
Zaidi ya abiria 700 waliokuwa wakisafiri na treni ya reli ya kati kuelekea mikoa ya Tabora, Mpanda na Kigoma wamekwama kwa ...
"Kwa wakati huu, watu 27 ndio inasadikiwa kuwa wamefariki, ikiwa ni pamoja na watoto 25 na rubani," Saydur Rahman amewaambia waandishi wa habari, akiongeza kuwa watu 78 waliojeruhiwa wanasalia ...
Ajali hiyo ilitokea Jumamosi jioni huko Sabasaba, mkoani Kilimanjaro, baada ya tairi la basi hilo kuchomoka na kusababisha dereva kushindwa kulimudu gari hilo. "Jumla ya watu 38 walifariki katika ...
Miaka nenda miaka rudi, kivuko cha Likoni Ferry kimekuwa kikifanyiziwa tambiko maalum na Wazee wa Kidigo ambao wamekuwa na jadi zao za kimila kwamba pepo wa bahari lazima kufanyiwa karamu yao kwa ...
Kwa miaka 11 sasa, Brian Waihenya amekuwa akitumia kiti mwendo baada ya kupata ajali mbaya ya gari iliyoumiza uti wa mgongo na kumbadilishia kabisa mwelekeo wa maisha. "Ninatumia kiti mwendo kwa miaka ...
Bingwa wa marathoni wa Tanzania kwa upande wa wanawake, Magdalena Shauri, ameendelea kuipeperusha vyema bendera ya taifa ...
MWANZA: HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa Sekou toure imempongeza Rais wa Jamuhuri y Muungano Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa ...
Katikati ya mapori ya Itumbi- Chunya ambako ardhi inaongea kwa dhahabu, kuna kikundi cha watu wasio maarufu sana – lakini ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results